Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Tuesday Kihangala

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 7 iliyopita by Muddyb in topic Full details

Full details

[hariri chanzo]

Mimi ni mtoto wake talk to me nice nikupe full details uweke kweny Wikipedia ~2025-41715 (talk) 18:48, 4 Aprili 2025 (UTC)Reply

Taarifa za mwigizaji zinatakiwa zipatikane kwa mitandao. Kimsingi, unahitaji kuzungumza na babako ajitangaze zaidi kuliko kubaki kimya muda mrefu ilhali ana potential kubwa katika tasnia ya filamu TZ. Wikipedia si sehemu ya kuunda makala kama chanzo cha mwanzo bali huchukua kutoka kwingine. Sawa kijana wa Mr. Tues? @~2025-41715 MuddybLonga 05:18, 5 Aprili 2025 (UTC)Reply