Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Utalii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Tourism in the Democratic Republic of the Congo)
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Mwambashi901 in topic Marekebisho

Marekebisho

[hariri chanzo]

Salamu Mwambashi901, kama unashiriki katika shindano la Africa Wiki Challenge, basi hakikisha unafuata taratibu stahiki, katika makala hii "Tourism in the Democratic Republic of the Congo" ilistahili iwe "Utalii katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo" . Ndugu, tafadhali legeza mwendo, hakikisha Unaunda makala bora. Kazi iendelee Super8 Devs (majadiliano) 12:32, 11 Juni 2022 (UTC)Reply

sawa ila nilikua naomba msaada katika kubadilisha kichwa cha habari Mwambashi901 (majadiliano) 12:49, 11 Juni 2022 (UTC)Reply