Majadiliano:Televisheni ya Taifa ya Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kote Afrika[hariri chanzo]

Je ni kweli ya kwamba TVT yaonekana katika nchi nyingi za Afrika? Namna gani? Ningeshangaa kama inapatikana katika sehemu nyingi za TZ nje ya miji mikubwa kwa sababu mawimbi ya TV haifiki mbali sana kwa kawaida si zaidi jinsi unavyoweza kuona kwa jicho. Hii ni tofauti na mawimbi mafupi ya redio yanayowezakufika kote duniani. Maana yake transimita ya TV hufikia umbali hadi 200 km yaani transimita mjini Dar haipokelewi tena Morogoro. --User_talk:Kipala 14:36, 20 Januari 2008 (UTC)

Si muda mrefu sana walikuwa wakisema sasa hivi matangazo yao yanapatikana karibuni Afrika nzima!! Ila sijui kama waongo au namna gani... Upo uwezekano kwasababu wao sasa hivi wanatumia satelite kurushia matangazo yao!! Lakini sijui vipi hapo na ndiomaana nikataka mchango wako, je unalipi la kusema juu ya hili?--Mwanaharakati 05:09, 22 Januari 2008 (UTC)

Je umona nyongeza yangu kwenye televisheni ? Menginevyo nimeona ni chanzo kizuri. --User_talk:Kipala 21:02, 22 Januari 2008 (UTC)