Majadiliano:Tasnifu za Wikipedia
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala
Ni jaribio la kutafsiri :en:Plagiarism from Wikipedia. Nahisi alianza na google akajitahidi kutotumia maneno ya google lakioni bado inaonekana katika muundo wa sentensi. Pamoja na hayo haieleweki. Ilhali hata makala ya kiasili ya enwiki ni dhaifu - heri ifutwe au kuandikwa upya. Kipala (majadiliano) 12:42, 4 Oktoba 2022 (UTC)