Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Tafsida

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Neno tafsida lina kisawe tauria. Tafsida ni mojawapo wa tamathali za semi katika lugha ya Kiswahili. Ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali, matusi au fedheha na lugha tovu kiadabu. Tafsida hutumika hususan katika mazungumzo na uandishi was kifasihi kama vile kwenye riwaya, hadithi fupi,tamthilia na ushairi.

Mfano: Badala ya kusema " Mama yule ana mimba." Sema " Mama yule ni mjamzito."

Start a discussion about Tafsida

Anzisha majadiliano