Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Tadrart Rouge

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salamu, makala imeanza bila ya kuonyesha inahusiana na kitu gani haswa, pia ni vyema kuhakiki mabadiliko kabla ya kuchapisha makala yako, hii itasaidia kuweza kujua kama umetafsiri kila kitu kutoka katika makala ya kiingereza,tazama muonekano wa makala, inaweza kumchanganya msomaji wakati akiisoma na asielewe ni nini kilichopo ndani yake.