Majadiliano:Sungusungu (sisimizi)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Sungusungu)
Spishi gani?
[hariri chanzo]Ezzy Dee salaam. Sungusungu ni spishi gani kwa kisayansi? Nimefikiri tangu muda mrefu kama ni Megaponera, lakini sina uhakika. Unajua chakula chao ni nini? ChriKo (majadiliano) 15:12, 18 Januari 2018 (UTC)