Majadiliano:Shaka Zulu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Shaka)

Nadhani kwa mtazamo wangu ni mengi ambayo viongozi wetu wa sasa wanabidi wajifunze kutoka kwa kiongozi huyu(Shaka Zulu). Mengi mazuri ambayo aliyafanya ni kujifunza toka kwake kwa mfano aliunganisha umoja wa kijamii Aliheshimu mila na desturi za jamii yake na pia jamii jirani ambapo wale waliotaka kushirikiana nae aliwakaribisha kwa moyo mkunjufu. Alipenda kutoa shukrani pale ilipobidi kufanya hivyo,Kwamfano aliweza kuruhusu mashujaa toka vitani waongeze wake wengine kama zawadi. Bali pia halikuwa ana mammo mengine yaliyo kuwa si ya kufatwa sana Mojawapo kubwa ni hasira;Shaka alikuwa na kiwango kikubwa cha hasira,kiufupi alikuwa hawezi kusamehe; kitu ambacho kilisababisha watu wengi wapoteze maisha na hili ni jambo ambalo hata Mungu akubaliani nalo Kiufupi tu haya ndiyo ninayoweza kusema kuhusu Shaka Zulu Shujaa ambaye naweza kusema ni namba moja Barani Afrika.

Makala hii imeandikwa na: Ally Hassan Semlingwa Email: asetco@yahoo.com Mobile: +255 777 48 34 20 Zanzibar-Tanzania.