Majadiliano:Rujewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nyongeza[hariri chanzo]

Habari za Historia na Uchumi ziliongezwa kwa maneno yafuatayo ambayo hayawezi kubaki ndani ya makala yenyewe kulingana na utaratibu wa kamusi elezo: "Habari hizi ni kulingana na nnavyojua mimi mzawa wa Rujewa Mwl Yassin H.Sanga" (mtumiaji asiyekiandikisha 196.46.120.120). Kipala (majadiliano) 19:26, 14 Machi 2017 (UTC)[reply]