Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Ruaruke

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

RUARUKE

[hariri chanzo]

Ruaruke ni kata mojawapo iliyopo katika wilaya ya kibiti, inakaliwa na makabila maarufu mawili nayo ni Wandengereko na na Wanyagatwa pia kuna makabila mengine ya wahamiaji kama vile Wasukuma, Wamang'ati na Waha. Wakazi wa Ruaruke wanajishughulisha zaidi na kilimo pamoja na ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mazao yanayolimwa ni ya biashara na chakula. Mazao ya biashara ni korosho,ufuta na mihogo.Mazao ya chakula ni mpunga na mahindi, mihogo hutumika kama zao la chakula na biashara.Kata hii ina dini kuu mbili nazo ni uislamu na ukristo lakini pia kuna ambao hawafati dini yeyote kati ya hizo mbili.Hiyo ni historia fupi ya kata ya Ruaruke,Asante sana.