Majadiliano:Roeperocharis bennettiana

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sanduku la uainishaji[hariri chanzo]

Jambo Aneth, salaam. Kwa sababu makala hii inahusu mada ya kibiolojia, inahitaji sanduku la uainishaji (hata makala yako kwa Kiingereza). Unajua jinsi ya kuunda sanduku kama hili? Usipojua nakili sanduku kutoka kwa makala ya kitunguu na badilisha data.

Chini ya kichwa "Angalia pia" uliandika "Orodha ya familia ya Orchidaceae". Nafikiri ulitaka kuandika jenasi badala ya familia. Lakini orodha hii haipo bado. Utaiunda?

Mwishowe, unataka kuandika makala nyingine kuhusu mimea? Kwa kisa hicho labda tunaweza kushirikiana. Kila la heri. ChriKo (majadiliano) 19:11, 25 Februari 2021 (UTC)[jibu]