Majadiliano:Rasi ya Kowloon
Weka madaMandhari
Latest comment: mwaka 1 uliopita by Gayle157 in topic Translation
Translation
[hariri chanzo]@Idd ninga , This page isn't Translated
AguahrzChronist
(majadiliano) 10:44, 10 Februari 2025 (UTC)
- Zingatia, kabla ya kuanzisha makala katika Wikipedia ya Kiswahili,kwanza fanya utafiti kwa kutazama kama makala hiyo tayari ipo katika Wikipedia ya Kiingereza,ili unapoiweka huku na mtu mwingine anapoitoa katika Wikipedia ya Kiingereza kuja Kiswahili,akute haina tofauti,labda tofauti za kimaboresho ili baadae iwe rahisi wakati kuunganisha makala ya kiswahili na makala za lugha nyingine,pia usisahau kuweka Mbegu katika makala unazoanzisha,pia vigezo vya tafsiti ya kompyuta usitoe hadi pale makala itakapo kuwa ipo katika lugha nzuri zaidi,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 10:51, 10 Februari 2025 (UTC)
- Like i said , Hii makala si ya Kutafsiri.
- It isn't Translated you can confirm whether they look the Same with the one in English Wikipedia.
- What's the Point of of using that template if it isnt translated AguahrzChronist(majadiliano) 10:56, 10 Februari 2025 (UTC)
- Makala zinazoletwa katika Wikipedia,ni kwa ajili ya kuongeza maarifa,unapoona kigezo chochote kimewekwa haimaanishi kuwa umekosea,ila inamaanisha kuwa makala hiyo inatakiwa kuwa kwenye lugha yenye ubora zaidi,hapa siyo jukwaa la kushindana ni jukwaa pia la kupewa maelekezo ili kuwa na makala bora, makala zote unazoona humu,huwa zinafanyia maboresho mara kwa mara,pia zinagaita kanuni za aundishi,hatuandiki humu kwa kufuata mawazo ya mtu mmoja tu, na makala zinazoletwa humu haziletwi kama wazo la mtu mmoja,makala inaweza kufanyiwa maboresho na mtu yeyote, na chochote kinachoandikwa humu,hakina hati miliki na alieandika hiyo makala, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 11:06, 10 Februari 2025 (UTC)
- Sijasema nimekosea wala siteti ,Sijui Umetoa hiyo yote wapi.
- Chenye nasema nikuwa kama lugha ndiyo haijifikia kiwango basi tumia kigezo Multiple issues sio kigezo tafsiri.
- Na sijasema tunashindana!
- Pia mimi naelewa sisi wote ni wahariri, na Hakuna makala ya mtu mmoja.
- Makala zenye nimetafsiri huwa siweki kwenye user page! AguahrzChronist(majadiliano) 11:13, 10 Februari 2025 (UTC)