Majadiliano:Penalti

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Istilahi ya michezo[hariri chanzo]

Makala iliwahi kupanushwa kutaja maana mengi ya neno la kiingereza "penalty". Lakini sioni ushuhuda wowote ya kwamba neno "penati / penalti" linatumiwa kwa Kiswahili nje ya michezo. Kwa hiyo nimerudisha makala pale. Kipala (majadiliano) 07:43, 16 Julai 2018 (UTC)[jibu]