Majadiliano:Pembe ya Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jina[hariri chanzo]

Kipala salaam. Una uhakika kuwa jina Pembe la Afrika ni sahihi? Matokeo mengi ya utafutaji kwenye Google hutumia Pembe ya Afrika. Hata TUKI inasema kwamba pembe ni ngeli ya n-. Wako mwaminifu. ChriKo (majadiliano) 20:23, 5 Oktoba 2020 (UTC)[reply]

Kweli kabisa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:17, 6 Oktoba 2020 (UTC)[reply]