Majadiliano:Pemba Mnazi
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 7 iliyopita by Muddyb in topic Changamoto ya maadili Kwa vijana kata ya Pemba Mnazi
| Huu ni ukurasa wa majadiliano wa kuboresha makala ya Pemba Mnazi. | |||
|---|---|---|---|
|
|
||
| Hii ni makala ya Pemba Mnazi ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Changamoto ya maadili Kwa vijana kata ya Pemba Mnazi
[hariri chanzo]Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la mmomonyoko wa maadili Kwa vijana katika kata ya Pemba mnazi hususani mtaa wa Puna ~2025-62798 (talk) 13:00, 1 Juni 2025 (UTC)
- @~2025-62798 Hilo ni janga la taifa, ndugu. Si tu TZ, ni kila mahali. MuddybLonga 17:15, 1 Juni 2025 (UTC)