Majadiliano:Pauni ya Uingereza
Weka madaMandhari
Latest comment: mwaka 1 uliopita by Riccardo Riccioni in topic Sterling pound
Sterling pound
[hariri chanzo]@Riccardo Riccioni this Article is about Sterling Pound not for just Pound Currency see Pauni, Egypt also use pound
AguahrzChronist
(majadiliano) 13:01, 8 Februari 2025 (UTC)
- be For real, Its not about Which is Mostly used , Its about ita name its Sterling Pound not pound.
- Example all East Africa countries use Shilingi , We cant call all articles Shilingi AguahrzChronist(majadiliano) 13:15, 8 Februari 2025 (UTC)
@Ni kweli, pauni inatumika katika nchi kadhaa, lakini muhimu zaidi sana ni ile ya Uingereza, kama dola ya Marekani. Kwa vyovyote pauni ya sterling haikuwa sawa kwa Kiswahili. Ngoja tupanue makala. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:09, 8 Februari 2025 (UTC)
- No, Hii Wikipedia ina Makala ya Dola Tofauti kama, Dola ya Marekani, Dola ya Australia na Dola ya Kanada.
- Pia Inapaswa kuwa na Pauni ya Uingereza , Pauni ya Misri et AguahrzChronist(majadiliano) 13:19, 8 Februari 2025 (UTC)
- Kama ni hivi, kwanza tunga kurasa hizo zote kuhusu pauni za nchi mbalimbali. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:20, 8 Februari 2025 (UTC)
- Ee, Nitatunga na pia Nitatunga makala ya pauni (sarafu) AguahrzChronist(majadiliano) 13:22, 8 Februari 2025 (UTC)
- Hapo sawa. Lakini nakukumbusha ustaarabu. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:25, 8 Februari 2025 (UTC)
- Ee, Nitatunga na pia Nitatunga makala ya pauni (sarafu)
- Kama ni hivi, kwanza tunga kurasa hizo zote kuhusu pauni za nchi mbalimbali. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:20, 8 Februari 2025 (UTC)