Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Orodha ya nchi kwa Pato la Taifa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Orodha ya nchi kwa na Pato la Taifa)
Latest comment: miezi 11 iliyopita by Kisare in topic Country Name

Interwiki kwenda Wikipedia nyinginezo

[hariri chanzo]

Weka sasa viungo kwenda Wikipedia nyingine. Ninaamini matini haya si kwamba hayapatikani kwingineko. MuddybLonga 17:47, 9 Februari 2025 (UTC)Reply

I don't know how to!, explain
AguahrzChronist
(majadiliano) 17:54, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
Orodha kama hizo;
  1. https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_GDP_(nominal)
  2. https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_GDP_(PPP)
  3. https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_GDP_(nominal)_per_capita
Uziunge na mkono wa Wikipedia ya Kiswahili. MuddybLonga 18:31, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
@Gayle157 si kuweka makala za Kiingereza katika Kiswahili mkuu. Makala yako hii hakuna yenye umbo sawa huko Wikipedia ya Kiingereza? Kama ipo, basi weka INTERWIKI. Hello @Nailibron explain to him about interwiki links. MuddybLonga 19:01, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
I don't get it, I mean si wewe ni mhariri, inamaanisha hariri ndio iwe sawa.
Ukishafanya nitaelewa
AguahrzChronist
(majadiliano) 19:04, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
"Interwiki Links" are edited on separate WIKIDATA wiki-site, using visual interface. Nailibron (majadiliano) 19:06, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
Katika hizo makala tatu hapo juu, which one is Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa? MuddybLonga 19:17, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
Ya kwanza gdp nominal
AguahrzChronist
(majadiliano) 19:24, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
Sawa. Nakili List of countries by GDP (nominal) kisha njoo nayo hapa: https://www.wikidata.org/wiki/Special:NewItem?site=swwiki&page=Orodha+ya+nchi+kulingana+na+pato+la+taifa litafunguka dirisha lingine juu. Chagua lugha, utaweka enwiki. Chini yake utaweka jina la makala husika kwa kesi yetu ni List of countries by GDP (nominal). Utaongeza katika orodha kisha unakubali kuinga. Baada ya sekunde utaona kando ya ukurasa upande wa juu kuna orodha ya kwenda lugha nyingine. MuddybLonga 19:35, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
Direct link to "list of countries by GDP (nominal) (Q19093)" is here: https://www.wikidata.org/wiki/Q19093 Nailibron (majadiliano) 19:49, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
He has to do it himself; it's the only way he can learn from this. MuddybLonga 19:53, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
Scroll down to "Wikipedia(77 entries)", click edit, go to bottom, at "wiki" field type sw , at "page" field type Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa , finally go to top of this sub-list in vertical rectangle, and click "PUBLISH". Nailibron (majadiliano) 19:59, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
Additionally, it is possible to add the article to the item without physically going there. By clicking the link above, he will be able to add it to the same item. MuddybLonga 20:04, 9 Februari 2025 (UTC)Reply
Direct access was better, since Gayle created separate "Qxxxxxxxx" entry. Nailibron (majadiliano) 20:37, 9 Februari 2025 (UTC)Reply

Country Name

[hariri chanzo]

@Kisare i am not sure whether that's the correct names of Country in swahili, Would you look at it!

AguahrzChronist2.0

(Mtumiaji) 18:26, 14 Februari 2025 (UTC)Reply

@Kisare There are too many mistakes in the name,Help!
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 18:29, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
I have tried before to change the names of countries to their official Swahili names, but the wakabidhi (administrators) criticized me for it and didn't let me. Kisare (majadiliano) 18:36, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
Give an example of a name of country you tried to change their names to official swahili words
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 18:43, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
For example the official Swahili name for Cote D'Ivoire is Kodivaa according to TUKI and the African Union. Lakini walisema kwamba hiyo ni "Kiswahili cha mtaani" ingawa kwa kweli hiyo ni Kiswahili sanifu. Kisare (majadiliano) 18:54, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
Hata mimi najua ni Kodivaa, Ni wakabidhi wagani hao walikataa,
Futhermore Cote D'Ivoire is French!
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 18:58, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
I know, exactly. It is frustrating. Majina haya ni SANIFU, si "ya mtaani". Hii ni Wikipedia ya Kiswahili, tutumie majina ya Kiswahili! Kisare (majadiliano) 19:24, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
wakabidhi waliomakataa majina walikuwa Riccardo, na Justine Msechu. maybe there were others but I cannot remember. Kisare (majadiliano) 19:31, 14 Februari 2025 (UTC)Reply