Majadiliano:Nyungunyungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nyungunyungu au chambo[hariri chanzo]

KKK inasema Nyungunyungu anaishi majini na humwingia mtu miguuni. Mara nyingi nimesikia lumbricus anaitwa chambo. Sijui Chriko. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:24, 15 Oktoba 2017 (UTC)

Takriban kamusi zote zinasema kwamba nyungunyungu ni "earthworm". Nyungunyungu wanaweza kutumika kwa chambo au kishawishi cha samaki. Lakini chambo kinaweza kuwa kitu chochote ambacho kinashawishi samaki wang'ate. Wale minyoo ambao humwingia mtu miguuni ni minyoo-bapa na husababisha kichocho. ChriKo (majadiliano) 21:23, 15 Oktoba 2017 (UTC)