Majadiliano:Nubia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyongeza la Tamanji Logodi limerudishwa nyuma kwa sababu alichanganya habari za Nubia (eneo mpakani mwa Sudan na Misri) na Wanuba (mpakani mwa Sudan na Sudan Kusini. Kipala (majadiliano) 16:00, 11 Desemba 2021 (UTC)[jibu]