Majadiliano:Nina Benner-Anderson
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 10 iliyopita by Gayle157 in topic Kosa za CS1
Kosa za CS1
[hariri chanzo]Hello @Kimwali mmbaga , Tafadhali ukiweka vyanzo utumie muundo sahihi ili kuepuka makosa ya CS1. Mfano ukiweka "authors" kama ni wengi tumia first1= last1= first2= last2= n.k .mfano
|last1=Hedberg |first1=Walborg |last2=Aronsenius |first2=Louise
Pili kwenye Lugha tumia iso Code(nambari ya msimbo ya lugha) yake mfano: kwa hii makala ulitumia language=swedish ndio maana ilitoa kosa, Ilikuepuka hio tumia language=sv , SV ndio msimbo wa lugha ya Kiswidi. Asanti!
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 18:55, 18 Machi 2025 (UTC)
- @Said Mfaume pia wewe kwenye makala ya Istishab ndio maana inatoa makosa ya CS1 maint: multiple names: authors list AguahrzChronist2.0(Mtumiaji) 19:01, 18 Machi 2025 (UTC)