Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Nigeria

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 9 iliyopita by Gayle157 in topic Name

Name

[hariri chanzo]

Is it Nigeria or "Naijeria" in Swahili, I have seen many with Naijeria instead

@Muddyb @Riccardo Riccioni

AguahrzChronist2.0

(Mtumiaji) 06:32, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply

Vyombo vyote vya habari vinaandika Nigeria kwa jina lake la asili kama Nigeria hakuna walioswailisha hilo neno. Tazama https://www.dw.com/sw/nigeria/t-19087435 na https://www.bbc.com/swahili/articles/c4n6n4xzvero ukipenda zaidi tazama https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mabadiliko-ya-kidijitali-nchini-nigeria-4947966 kuna pia https://sw.eureporter.co/world/nigeria/2021/02/24/nigeria-successfully-exits-recession/ MuddybLonga 07:28, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
The "g" in Nigeria sounds too vague since in Swahili it should become "j" like Jojia,Ujerumani, Aljeria
.
Is there any Swahili word where G is Pronounced as J?
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 07:56, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Katika KKK jina ni Nijeria. Lakini macho yanagoma kwa jinsi tulivyozoea kusoma jina kwa Kiingereza... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:27, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Kwa hivyo Inapaswa kuwa Nijeria?
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 13:06, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Kamusi si wakfu. Ndiyo maana tunafuata watumiaji wa lugha. Watumiaji hawajui Nijeria wanajua Nigeria hata iweje hawezi kuandika kama KKK. MuddybLonga 13:07, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Even if people say Nigeria doesn't mean its right, Its just a mistake people make on daily basis, And Wikipedia should correct that by using the Correct information from Kamusi,
Unless you have another Kamusi @Muddyb that says Nigeria, Not sources from Media. This is Incorrect.
Like i said G isn't pronounced as J in Swahili.
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 13:12, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
We bwana ukileta kila neno la kamusi hapa itakuwa vichekesho. Hilo neno halijakosewa lipo sawa kwa watumiaji. Unless kama unaaamua kuleta mjadala. Na kama hatufuati media, tunafuata nani? Kumbuka, wikipedia sio primary source, tunafuta media kutoa habari zetu au journal. Nje ya hapo, itakuwa vichekesho. MuddybLonga 13:14, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
What?
Remember, Wikipedia requires Notability?
Between Kamusi (Which has thorough revision of words and meanings) vs News Outlets which Source country names I don't know where, Which has more notability?
That's not even negotiable!
It needs to be like this
"Nijeria pia Nigeria.
De Jure comes before De Facto
In this case Nijeria is "De jure" while Nigeria is "de facto",
G is Incorrect, Completely incorrect
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 13:25, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Incorrect according to you! Lakini sio wasemaji wa lugha! Si kila neno la kubadili. Ndiyo maana kuna ushindani mkubwa kati ya watumiaji wa lugha na taasisi za uchakataji majina ya vitu na watu nchini Tanzania. TUKI na tasisi zake wanasema kishikwambi, watumiaji wamebaki na tablet. Kompyuta mpakato, watumiaji wamebaki na laptop. Tarakilishi, watumiaji wamebaki na kompyuta. Hayo ni maneno machache wasemaji wanabaki na zao la asili kuliko tafsiri iliyopendekezwa. Wasemaji ndiyo wanaonamua lugha iweje na si taasisi. MuddybLonga 13:34, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Like Riccardo said its just that people are mistaken by how we write it in English, And bring it to swahili doesn't mean they are Correct.
And its correct only to you.
Nigeria in Swahili would pronounce as "ni.ɡhe.ri.a" while Nijeria would Pronounce as "ni.d͡ʒe.ri.a" (Ni-jhy-ria).
You keep claiming what wasemaji are saying , You can't even proof it, And since Wikipedia is based on Notable Sources.
Where G in English is Pronounced as J , In swahili it can never be still G ,Nope , Even if My swahili understanding is way Lower i am not that dumb.
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 13:49, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Soma tena kwa ujumbe wa Riccardo: Katika KKK jina ni Nijeria. Lakini macho yanagoma kwa jinsi tulivyozoea kusoma jina kwa Kiingereza... MuddybLonga 14:40, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
BBC, Al Jazeera, DW those are notable sources. Yet alone even government entities call it Nigeria. Mfano wa gazeti la serikali ni: https://habarileo.co.tz/watu-10-wameuawa-kimakosa-nigeria/ MuddybLonga 14:42, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Yes i read it again, In indirect meaning it says People are unable to differentiate it , because we are used to writing it in English like that.
News Outlets don't have to compulsorily follow the Grammar of a language Unlike a Dictionary, So no the Sources aren't notable when it comes to Structure of language.
Like i keep saying, There's no swahili word where G is Pronounced as J and still written as G, Swahili Grammar doesn't work like that
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 14:13, 20 Aprili 2025 (UTC)Reply