Majadiliano:National Party (Afrika Kusini)
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 3 iliyopita by Muddyb in topic Makala ya maana
Makala ya maana
[hariri chanzo]Ikiwa ukurasa hakuna mwingine wenye jina lilelile, si lazima kuweka mabano kwa kitu ambacho hakipo. Labda kama mtaunda ukurasa wa maana kabisa ili kupunguza mkanganyiko. MuddybLonga 11:43, 19 Februari 2025 (UTC)
- Ni kweli, kwa sasa hakuna ukurasa mwingine wenye jina lilelile, lakini vyama vyenye jina hilo viko vingi, kwa mfano huko Malta. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:43, 19 Februari 2025 (UTC)
- Kumbe! Basi sawa. Nimekuelewa mzee wangu. MuddybLonga 20:32, 23 Februari 2025 (UTC)