Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mzunguko wa Bahari ya Erithrea

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 11 iliyopita by Gayle157 in topic Erythraean Sea

Sarufi

[hariri chanzo]

Periplus ni neno la kilatini ambalo haliendani na sarufi ya kiswahili. Kwa vile katika kiswahili hakuna tafsiri ya moja kwa moja ya neno periplus basi ni vizuri kulitohoa na kuliweka katika sarufi ya kiswahili. Peripulu ndio neno ambalo linakwenda sambamba na sarufi ya kiswahili na pia kulingana na neno la asili katika lugha zilizotumika mwanzo

Mpendwa, Periplus περίπλους si neno la Kilatini bali la Kigiriki cha Kale. Makala inasema vile. Tafsiri yake lipo ni "kuhusu safari (ya baharini)" kwa maana "mwongozo". Sasa inatumiwa kama jina maana hata Kiingereza haina tafsiri ya "moja kwa moja" maana "about sailing" ni tafsiri kamili lakini haieleweki kirahisi. Ukitazama makala za Periplus katika wikipedia za lugha mbalimbali utaona karibu zote zimetumia neno la Kigiriki kama jina. Na kuhusu majina ya kigeni tunajaribu kuyatumia jinsi yalivyo kama hakuna historia ya jina hili kwa Kiswahili. Maanake inaeleweka ya kwamba "Ufaransa, Uingereza, Marekani" ni nchi zipi na maumbo haya ya jina yametokea katika historia. Lakini jina linalojulikana leo tu kwa Waswahili "Elvis Presley" ni Elvis Presley, hatumbadilishi kuwa "Elivisi Pereseli" ingawa umbo kama hili lingelingana zaidi na kanuni za matamshi ya Kiswahili. Naomba utafakari kama una sababu nzuri zaidi , kama ziko ulete!, menginevyo nitarudisha mabadiliko yako. Kipala (majadiliano) 07:02, 14 Januari 2015 (UTC)PReply

Erythraean Sea

[hariri chanzo]

@Riccardo Riccioni , Erythrean sea isn't just limited to Red sea but there are other states too like Arabian Sea, Persian Gulf, and Indian Ocean .

So i think it should use the name "Ubaharia wa bahari ya Erythrean" , Ubaharia for navigation.

AguahrzChronist2.0

(Mtumiaji) 18:43, 23 Machi 2025 (UTC)Reply

@Riccardo Riccioni How is Erythrean, Eritrea?
That's not correct at all,
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 10:07, 24 Machi 2025 (UTC)Reply
At least if its direct translation say Erithrea!
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 10:10, 24 Machi 2025 (UTC)Reply