Majadiliano:Mpanga Tazara

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

THE DEVELOPMENT OF MPANGA TAZARA[hariri chanzo]

MPAMGA TAZARA ni kijiji kinacho patikana mpakani mwa mkoa wa iringa na mkoa wa morogoro katika wilaya ya mufindi, ni kijiji ambacho kipo kando kando ya leri ya Tazara kijiji hiki kimebalikiwa kuwa na vyanzo vingi vya maji ambavyo vimesaidia kuendelea kwa kilimo, hata hivyo asilimia kubwa ya wakulima wake ni wakulima wadogo wadogo hata hivyo kwa juhudi za serikari barabra imeweza kufika katika kijiji hicho na kijiji hicho kimeamka sasa na kuanza kupanda miti kama ni zao la biashara kijiji hicho kinachangaoto nyingi sana ikiwepo ukosefu wa ajira (unemployment), usafiri(transportation) kwani usafili unao tegemewa ni tren tu , kilimo duni pamoja (poor agriculture production) na hali ngumu ya kibiashara( poor conditions of trade) kutokana na hali ngumu ya usafiri wa kuingia na kutoka.Kwa namana ya tofauti ya tofauti kijiji hiki kina mazingira mazuri (Good geographical condition) ambayo yana saidia mazao mbali mbali ikiwa ni zao la miti(tree plantation ) ya kila aina , zao la nanasi (pienaples) ,mahindi(maize) na zuri zaidi (good enough) kuna mapolomoko ya maji mwogope ( mwogope waterfall) ambayo ni muhimu katika kutegesha umeme(hydro elctricpower).Mungu bariki kijiji cha mpanga tazara wapendwa wasomaji wa page hii karibuni sana katika kijiji hiki utafurahi kwa mazingira yake (amazing environment features). wekeza mpanga tazara sasa kwapamoja tunaweza(Together we can invest with mpanga tazara now-) SELA SUTA(selasuta@gmail.com)

Faili:THE DEVELOPMENT OF MPANGA TAZARA
SUTA