Majadiliano:Mnyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mlawangi?[hariri chanzo]

Nimeondoa "mlawangi" katika makala. Maana nimeikuta pale facebook pekee, haiko katika kamusi zangu. Hata sielewi etimolojia yake. Kama kuna ushuhuda basi tunaweza kuirudisha. Kipala (majadiliano) 07:24, 29 Januari 2019 (UTC)

Angalia jibu langu katika Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo. ChriKo (majadiliano) 13:19, 29 Januari 2019 (UTC)