Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mfungamano wa kwanta

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mfungamano vs. mkanganyiko

[hariri chanzo]

@Gayle157 nadhani kwamba jina la awali la makala hii lilikuwa bora kuliko lile la sasa. Mkanganyiko ni kama confusion lakini entanglement katika muktadha huu ni kama mfungamano. Kwa sababu chembe mbili zilizo "entangled" zinaungana au zinafungamana hata kama chembe moja iko mbali na nyingine. Haihusu kukanganyika Kisare (majadiliano) 07:24, 14 Februari 2025 (UTC)Reply

its @Riccardo Riccioni who moved it
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 07:26, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
Sawa. Perhaps he misunderstood the concept.
Nitaihamisha tena kwenye "Mfungamano wa kwanta", na natarajia Riccardo ataona hapa maelezo yetu. Kisare (majadiliano) 07:34, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
But mbona umetoa theory of relativity in the Name?
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 07:40, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
tayari kuna makala kuhusu nadharia ya uhusianifu Kisare (majadiliano) 07:55, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
I think a lot of this should be put in a different article. Most of it doesn't have to do with quantum entanglement. utaonaje ikiwa tutahamisha sehemu za "nadharia ya uhusianifu" na "uvutano kwanta na matarajio ya uunganishaji" kwenye makala ya nadharia ya uhusianifu? Kisare (majadiliano) 08:24, 14 Februari 2025 (UTC)Reply
Okay
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 18:23, 14 Februari 2025 (UTC)Reply