Majadiliano:Miaka ya 1090 KK

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Afadhali niache kuanzisha kurasa za namna hii, kwa sababu ya kutojibiwa swali nililoliuliza mara mbili: je, kama mwaka 0 haupo, karne ni 100-1, 200-101 n.k. na miongo pia inakuwa 100-91, 200-191? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:23, 12 Novemba 2015 (UTC)