Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mbuzi (Maana)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Kipala

Huu naona makala ya maana safi kabisa;

  1. sasa inafaa kuingiza kiungo kwa mbuzi, ukifanya hii utaona mstari wa kwanza hauhitaji mabano ya (mnyama) kwa sababu makala iko tayari;
  2. halafu kuunda kiungo cha mbuzi wa pili labda hata kuanzisha makala mafupi? --Kipala (majadiliano) 04:41, 10 Desemba 2009 (UTC)Reply