Majadiliano:Mazingira

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
VITU VINAVYOJENGA MAZINGIRA.

Mazingira huweza kujengwa kwa vitu mbalimbali kama misitu,milima,maziwa,mabonde,mito,bahari,nk.Pia mazingira haya tunayozungumzia yanaweza kuwa ya asili au ya kutengenezwa na binadamu kama majengo,viwanda nk.Hivyo tuwe makini katika kujenga mzingira yetu kwa sababu vitu vingine huaribu mazingira kama vile viwanda nk.

Mazingira[hariri chanzo]

Mazingira ni jumla ya mambo yote yanayomzunguka kiumbe katika maisha yake.Kila kiumbe huishi kwa kutegemea mazingira,mazingira pia huundwa na vitu kama bahari,maziwa,mito mabonde.

   Utunzaji wa mazingira

Tunatakiwa kutunza mazingira kwani tukiyachafua tunaweza kupata magonjwa kama vile malaria,kipindupindu n.k.Tunaweza kutunza mazingira yetu kwa,kutochoma mistu ovyo,kutokata miti,kupanda miti n.k.

   Uharibifu wa mazingira

Unaweza kuribu mazingira kwa kufanya mambo kama vile kukata miti ovyo ,kuchoma mistu ovyo,kuchafua vyanzo vya maji n.k.