Majadiliano:Malunde
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala
Tufanye nini na makala kama hii? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:49, 17 Agosti 2020 (UTC)
Haina chanzo. Naona tuache kwa onyo kuhusu vyanzo. Kuna kitabu cha mmoja Emanuel Mbogo "Der Tanz des Ng'wanamalundi", Afro-Pub, 1992, kurasa 136; watu waliijadili hapa http://xtxykyztyi.topsddns.net/tanz-des-ngwanamalundi.html. Inaonekana kitabu kilitolewa pia kama "Ngoma ya ng'wanamalundi" na Nyambari Nyangwine Publishers, 2008. Kwa hiyo nahisi kuna msingi wa uhakika juu ya habari za makala. Kipala (majadiliano) 13:49, 5 Septemba 2020 (UTC)
- Naona pia habari fupi hapa African Folklore: An Encyclopedia ed. Philip M. Peek, Kwesi Yankah tazama https://books.google.co.tz/books?id=Sd6SAgAAQBAJ&pg=PT1700&dq=Ng%27wanamalundi&hl=de&sa=X&ved=2ahUKEwj3y__Qk9LrAhXailwKHb_SCd8QuwUwAnoECAMQCA#v=onepage&q=Ng'wanamalundi&f=false, nenda uk 167. Kipala (majadiliano) 14:08, 5 Septemba 2020 (UTC)