Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Makamu wa askofu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je kuna kweli sababu ya kuwa na makala hii? Kwanza kichwa cha makala jinsi ilivyo ingetakiwa kutaja mamakamu wa maaskofu katika makanisa au madhehebu mbalimbali. Pili sijui kuna kitu gani katika makamu sisiyo kawaida kwa makamu yoyote. Isingetosha kumtaka makamu katika makala ya askofu? 91.98.113.164 20:39, 31 Machi 2012 (UTC)[jibu]

Ukurasa huu upo katika lugha nyingine 16 pia. --41.221.34.70 12:33, 5 Aprili 2012 (UTC)[jibu]