Majadiliano:Magimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kasoro[hariri chanzo]

jinsi ilivyo makala haielezi magimbi ni chakula kutokana na mmea gani, au kama ni jina la kutaja vyakula vyenye asili mbalimbali. Nimekuta "en:yam" au "en:taro" (sw jimbi) kama maelezo kwa magimbi.

Kimsingi mada ya kufaa lakini heri iende kuliko kutoeleweka Kipala (majadiliano) 18:53, 24 Februari 2017 (UTC)