Majadiliano:Madume bora

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tufanye nini kuhusu hizi makala juu ya mitaa? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:31, 17 Agosti 2020 (UTC)[jibu]

Siwezi kuthibitisha kuwepo kwa mtaa. Jina halipo wala katika orodha ya misimbo ya posta wala kwenye geonames.org. Kama habari za mtaa zipo sina neno makala ibaki, lazima tuipange katika wilaya husika. Lakini bila ushahidi kabisa? Tufute? Kipala (majadiliano) 13:26, 5 Septemba 2020 (UTC)[jibu]