Majadiliano:Madhehebu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hii makala kuna kosa katika kuunganisha kule Wikipedia ya Kiingereza. Makala ya Wikipedia ya Kiingereza inataja Ukristo tu, wakati hapa wamejumlisha yote. Kheri ingepelekwa hapa: https://en.wikipedia.org/wiki/Denomination ambapo wametaja madhehebu yote kwa pamoja.--154.73.170.162 13:27, 20 Januari 2016 (UTC)

Angalia vizuri, kiungo cha Kiingereza ni Religious denomination na kinataja dini nyingine, hasa Uislamu. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:46, 20 Januari 2016 (UTC)
Tazama hapa: https://en.wikipedia.org/wiki/Christian_denomination - makala moja ina viungo viwili.. Duh!!!--MwanaharakatiLonga 09:57, 23 Januari 2016 (UTC)
Ndugu, nashangaa, ila ni kweli hata katika Wikidata mara nyingine unakuta viungo viwili vya lugha moja kwa neno lilelile. Sielewi imekuwaje. Kama una maelezo, nipe. Kwa vyovyote turekebishe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:43, 23 Januari 2016 (UTC)