Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Maana ya saumu za sunna

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala

Matini yote ya makala imenakiliwa kutoka sehemu nyingine ya intaneti. Ninakuta manen yaleyale hapa www.facebook.com › sw.islamkingdom, www.pinterest.es, www.al-feqh.com na www.kenyatalk.com. Kunakili matini na kuibandika hapa ni marufuku kabisa kwenye wikipedia. Ama itasahihishwa haraka sana au kufutwa, Kipala (majadiliano) 20:16, 10 Machi 2020 (UTC)Reply