Majadiliano:Louvre

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wazungu wangu, salam. He! Eti sijui hii inayoitwa Winged Victory of Samothrace sanamu ya nani? Je, hakuna uwezekano wa kuijua kwa Kiswahili? Natumai mnafahamu kwa sababu nyinyi wazee wa kale! Natumai matalitatua tatizo hili.--Mwanaharakati (majadiliano) 07:06, 11 Septemba 2008 (UTC)[jibu]