Majadiliano:Kupoza kwa hewa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

habari ndugu, pole kwa shida zangu, naomba kuuliza swali, nauma unavounda maneno haya hasa katka tasnia hii ya TEHAMA huwa unafuata vigezo gani kutohoa maneno?

kwamfano hili neno ubaridi hewa unaonani tusingetumia kupoza? asante, (mchango wa mtumiaji:Olimasy, 05:38, 19 Oktoba 2020‎ )

Swali ni zuri. Ubaridi hewa si istilahi inayofaa. Unachotaka kusema ni "kupoza kwa hewa". Istilahi nyingi za orodha ya Microsoft ya 2007 hazitumiki. Labda afadhali kutoendelea hivyo? Kipala (majadiliano) 06:49, 19 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]

nakubaliana na wewe Kipala "kupoza kwa hewa" inaleta maana zaidi nafikiri tuendelee na hii. Olimasy (majadiliano) 08:36, 19 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]