Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Konde

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

NAFRAH SANA KUONA JINA LA KONDE.

[hariri chanzo]

ASALAM ALAYKUM NIME FRAH SANA KUONA HISTORIYA YA JINA LA KONDE KWA SS JINA HILI LINA TUMIKA PEMBA MPAKO IKO SEHEMU AMBAYO INAITWA KONDE IPO KTK W/MICHEWENI PEMBA KARIBUNI WOTE WASILIANA NA MM SULEIMA.THAN@YMAIL.COM KWA TAARIFA ZAID.

Haya angalia Konde (Pemba) na karibu kuchangia! Unajua asili ya jina? Wahamiaji kutoka Unyakyusa au watumwa kutoka huko? --Kipala (majadiliano) 05:55, 5 Septemba 2011 (UTC)[jibu]