Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kirua Vunjo Kusini

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mimi ni mkazi wa Yamu Kirua Vunjo Kusini. Katika kata hii vijiji karibu voyote vina umeme lakini kijiji cha Yamu hakina huduma hii. Je Kifanyke nini ili tuweze kupata huduma hii?