Majadiliano:Krioli ya Guyana ya Kifaransa

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina la ukurasa lina matatizo mawili:

  1. Kikrioli si sahihi: ni Krioli tu.
  2. Guyana ni hasa nchi huru yenye Krioli walau moja ya kwake.

Napendekeza: Krioli ya Guyana ya Kifaransa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:10, 1 Septemba 2020 (UTC)Reply[jibu]