Majadiliano:Khanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tahajia[hariri chanzo]

Mna uhakika kwamba tahajia hii inapendekezwa? Kufuatana na uchunguzi mdogo ambao nimefanya inaonekana kwamba "kanga" inatumika zaidi kuliko "khanga". Na inaonekana pia kwamba "khanga" ni ubuni wa hivi karibuni zaidi. ChriKo (majadiliano) 19:59, 8 Septemba 2017 (UTC)

Labda wanajaribu kutofautisha na Kanga ndege au?--MwanaharakatiLonga 09:56, 20 Desemba 2017 (UTC)
Ndiyo, inawezekana. Lakini kuna maneno mengi ambayo yana maana kadhaa. Na nilianza kuona tahajia hii hivi karibuni tu. ChriKo (majadiliano) 14:52, 20 Desemba 2017 (UTC)