Majadiliano:Kashenye
Mandhari
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Kashenye. | |||
---|---|---|---|
|
|
![]() | Hii ni makala ya Kashenye ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Mwana kashenye
[hariri chanzo]ANDERSON BIGILWA MAKUBO alizaliwa katika kijiji cha kashenye 1970 tarehe 17/01nimjukuu wa omwami Ta Eustace Makubo na Bibi yake Omwamikazi Ma Mamerita ambaye anaishi kashenye mpaka sasa Omwami Ta Eustace alifariki mnamo 1987.
PESA YA TANZANIA YAITWA TOILET PAPER
[hariri chanzo]Habari zenu wana WIKIPEDIA Week hii siku ya juma tano tarehe 01/06/2011 nilikwenda kulipa malipo katika kampuni hapa Dar es salaam ofisi zao zipo jengo la pegt opp na moven peack wanaitwa PIL nilipotoa pesa za kitanzania niliambiwa Atupokei toilet paper nipata uchungu ambao nivigumu kuelezea wahindi ao wakishilikiana na wanaojiita wa Tanzania awa kujali wala kuona woga kabisa hivi hii nchi niyakwetu kweli? nimetembea nchi si nyingi sana ila sijawai ona pesa yao ikikataliwa.