Majadiliano:Karne ya 2 KK

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Naona hizi kurasa kuhusu karne za KK zinapingana na Wiki ya Kiingereza, hasa kuanzia karne ya 9 KK na kurudi nyuma. Mwaka 100 BK ni karne ya 1, 100 KK ni karne ya 1 KK, hivyo 200 KK ni karne ya 2 KK, n.k. Nani arekebishe? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:16, 6 Novemba 2015 (UTC)