Majadiliano:Karafuu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asili ya jina[hariri chanzo]

Clou de girofle ni tafsiri ya Kifaransa, si asili ya neno karafuu. Naona kwenye kamusi ya Sacleux ya kwamba asili ni neno la Kigiriki καρυὁφυλλον karyofilon lililoingia katika Kiarabu kuwa قَرَنْفُل qaranful, na hivyo kufikia Kiswahili. Kipala (majadiliano) 19:37, 16 Aprili 2018 (UTC)[jibu]