Majadiliano:Jumuiya ya Nchi Huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mtumiaji asiyejiandikisha kwa jina alifuta jina la kiingereza. Nimelirudisha na kukinga ukurasa maana wasomaji wengine wanajua majina kwa lugha ya Kiingereza tu kwa hiyo tunayaongeza mara kwa mara kwa kuwasaidia wasomaji hao. Kipala (majadiliano) 10:10, 2 Aprili 2016 (UTC)