Majadiliano:John Sibi-Okumu
Mandhari
Makala haina umbo kabisa la mwenendo wa kiandikaji wa kamusi elezo. Mwandishi anahitajika apitie kidogo kwenye ukurasa wa Wikipedia:Mwongozo. Ni lazima washindanaji wote wasome ukurasa ule - vinginevyo tutaendelea kuona mauzauza kila siku.-- MwanaharakatiLonga 11:43, 16 Desemba 2009 (UTC)