Majadiliano:Jinsi ya kuwekeza katika sarafu ya crypto mnamo 2022
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala in topic Futa
Futa
[hariri chanzo]Makala hailingani na masharti ya kamusi elezo.
- inataja habari za pesa ya crypto kama "faida" tu, hakuna majadiliano kuhusu hasara. Makala haifuati Msimamo wa kutopendelea upande.
- inaelekeza kwenye ukurasa wa kibiashara
- haina vyanzo
Ifutwe. Kipala (majadiliano) 07:11, 21 Julai 2022 (UTC)