Majadiliano:Jeshi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala hii inahitaji kazi kadhaa. Mpaka sasa hasa ni tafsiri ya makala ya Kiingereza ambayo imetajwa kuhitaji msaada kutoka kwa mtaalamu wa kijeshi. Aya fulani, hasa kuhusu majeshi ya nchi fulani, hazijaeleweka vizuri. Kwa vile hata mimi si mjuzi wa mambo ya kijeshi sitabadilisha makala hii zaidi. --Oliver Stegen 15:07, 8 Februari 2007 (UTC)