Majadiliano:Jennifer J. Kayombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kuboresha makala:

 • tahajia ya lemma yaani ondoa mkato (comma) weka nukta na acha nafasi kati ya nukta na neno jipya
 • fomati: sahihisha mwonekano wa sehemu za 2 na 3. Soma Wikipedia:Mwongozo (Anzisha makala), kipengele na. 10 kwa maelezo jinsi ya kuiondoa.
 • fomati: tenganisha ibara (paragraphs) kwa kugonga ENTER mara mbili mwishoni mwake
 • Vyanzo: makala hii haina ushuhuda kuhusu habari zilizomo. Makala ya Guardian ina habari fupi juu ya Jenniffer. Kwa hiyo tafuta habari zaidi ya 1. Si rahisi kuifanya kwa kutumia simu, tumia kompyuta. fomati ya link hii haifai. Ulitumia mabano mraba mara mbili yaani [[, hii ni link ndani ya wikipedia, si ya nje
 • fomati ya vyanzo:
  • kuionyesha kama tanbihi (footnote) tafuta alama kwenye katika menyu ya "Hariri chanzo" juu ya dirisha inayosema "Marejeo" (references) zitaleta <ref> </ref> . Katikati weka kwanza mabano mraba [ ]. Kati ya mabano haya paste matini ya link unayopata, acha nafasi tupu mbili halafu andika kichwa cha habari, nyuma ya bano la pili lakini kabla ya alama ya "/ref" andika kifupi rejeo limetoka tovuti gani, ikiwezekana tarehe gani, uliangalia lini. Mfano: <ref> [https://www.theguardian.com/global-development/2018/sep/11/no-need-for-birth-control-tanzanian-presidents-views-cause-outrage 'No need for birth control': Tanzanian president's views cause outrage], tovuti ya The Guardian, London, ya tar. 11 Septemba 2018, iliangaliwa Septemba 2018</ref>
  • marejeo mengine kama yapo: links unaweza kuweka chini ya makala kwa kichwa cha Marejeo kwa namna ileile kama juu bila <ref> </ref>
  • mwisho wa makala weka yafuatayo:
==Tanbihi==
<references/>
==Marejeo mengine==
*[link + jina la link], madelezo kuhusu tovuti na tarehe
[[Jamii:JINA LA JAMII]]

Halafu usitumie links kutoka twitter n.k. fomati yao inaweza kuwa tofauti, fungua kwenye kompyuta na chukua kwenye dirisha la URL juu. Kipala (majadiliano) 16:56, 14 Septemba 2018 (UTC)