Majadiliano:Jakarta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nimeshindwa kuweka mshale pamoja na jina la Jakarta kwenye ramani ilivyoonyeshwa kwenye ukurasa wa Kiingereza en.wikipedia.org/wiki/Jakarta. Kuna mtu ambaye angeweza kuziweka sawa? Asante! Oliver Stegen 11:05, 2 May 2006 (UTC)